Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Esther Matiko ana tabia za wanawake wote wa Tanzania? Kumtusi mtu mmoja kunahusianaje na mamilioni waliobaki? Aadhibiwe kwa kosa kubwa la kumtusi huyo mama, lakini isiwe reference kwa wanawake wote, whether or not she's a prostitute, haimaanishi wamama wote wa nchi hii ni malaya.
Acha ajitetee yeye mwenyewe aliyelikoroga.
 
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.

Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio msimamo wa CCM Taifa kuwa CCM siku hizi wanawachukulia wanawake kama Malaya.

Cha kushangaza hutasikia NEC wakikemea jambo hili, hutasikia CWT wakikemea jambo hili, hutasikia hata Polisi wakikemea jambo hili.

Nawaomba wanawake wote, kwa umoja wenu, kataeni kudhalilishwa kisa tu ni kampeni. Utu wenu ni zaidi ya siasa.

Leo ameyasema kwa Matiko, kumbuka kesho itakua wewe, mama yako au wanao kuitwa Malaya.

Nimeweka ni video hapo, credi kwa Maria Tsehai

Kuna mtu alisema nimeweka kipande tu, sasa nimeweka video nzimaView attachment 1554990View attachment 1554991
View attachment 1554992
Mbona huyo mwenyekiti anaonekana ni mlugaluga kigagula fulani hata huyo mgombea wa CCM anaonekana kushangaa hayo matusi ya kishamba shamba toka kwa mtu mshamba
 
Dawa na tiba sahihi kwa huyo mwenyekiti ni kuichua hiyo video kisha kuisambaza kote mpaka kwa mwenyekiti wa CCM Taifa isambae mpaka Nchi jirani bbc na vyombo vyote vya habari ili wapate kujua CCM inawafuga wapumbavu wengi iwe fundisho kwa wenyeviti wa CCM wenye Akili finyu kama za huyo mwenyekiti wa CCM Tarime.
 
Esther Matiko ana tabia za wanawake wote wa Tanzania? Kumtusi mtu mmoja kunahusianaje na mamilioni waliobaki? Aadhibiwe kwa kosa kubwa la kumtusi huyo mama, lakini isiwe reference kwa wanawake wote, whether or not she's a prostitute, haimaanishi wamama wote wa nchi hii ni malaya.
Lkn huenda tabia za Umalaya anazo na zimekubuhi walahi. Maaana ameolewa na Proffesa lkn Watoto alionao ni wa Kaka Mtangazaji Mwalimu aka Mgombea mwenza wa Uprezidaa. Waaacheni watoane mapovu lkn pia mleta mada pia kama una nia njema na Matiko kwanini umetundika JF shambulio kama hilo!
 
inafaa ilaniwe kwani zikianza siasa za kuitana malaya wapo wagombea wa kike tokea ccm na wao wataitwa Malaya na vyama vya upinzani, makamu wa Rais ni mwana mama wapo Wanawake wakuu wa mkioa nk, CCM wakiendelea kulea kuendekeza Matusi kwa Wanawake watambue kuwa wapinzani wataanza kujibu kwa kuiga style za ccm ndipo itaibuka mitafaruku mkubwa kwani watanzania wote wana midomo ya kuongea siyo ccm pekee wana midomo ya kuongea matusi.
 
Lakini kamtaja mwanamke mmoja sio wote
Kamasema Esther Matiko ndo malaya siyo wanawake wote, acha tabia za Kisambaa akitukanwa mmoja anawaambia wenzie wote kwamba wametukanwa
Watu kama nyie huwa nawashangaeni sana,,,sasa sijui ni double standard au ni mini!?

Yaani unashindwa kumkosoa Lisa ni wa mlengo wako but akisema maneno kama hayo MTU mwingine (mpinzani) huwa munasema matusi .

Munachefua sana...wanafiki muliokithiri.

Maneno kama hayo siyo mazuri iwe kasema mpinzani au CCM period!
 
Nawaangalia tu! Waache hadi siku watukaniwe wazazi wao ndio watastuka
 
mwenyekiti wa ccm anatukana wapinzani malaya kakosa sera zote kaona sera kwake ni kumwita mpinzani malaya, je? wapinzani wakiamua kumwita choko shoga fuska mdananda atajisikiaje? matusi huwa rahisi kwa mtukanaji lakini huyo mtukanaji akijibiwa kwa matusi huwa mkali na hasa matusi yakilenda uhalisia wake, ngojea chadema wasake file la huyo mwenyekiti wa ccm Tarime kisha atapewa tiba sahihi iwe fundisho kwa wenyeviti wenye Upeo Mdogo kama wake.
 
Watu kama nyie huwa nawashangaeni sana,,,sasa sijui ni double standard au ni mini!?

Yaani unashindwa kumkosoa Lisa ni wa mlengo wako but akisema maneno kama hayo MTU mwingine (mpinzani) huwa munasema matusi .

Munachefua sana...wanafiki muliokithiri.

Maneno kama hayo siyo mazuri iwe kasema mpinzani au CCM period!
Dawa ya mwenyekiti wa ccm Tarime ipo jikoni video yake itasambazwa Duniani kote ili watu wajue katumwa na katibu mkuu Wa ccm na akina polepole wapenda siasa za kishamba.
 
Nawaangalia tu! Waache hadi siku watukaniwe wazazi wao ndio watastuka
Mwenyekiti wa ccm Tarime anayo masoo yake lukuki si mtu mzuri amepata kuwa jambazi ni mshirikina mkwepa kodi ana tuhuma nyingi mno hana mfano wa kuigwa hata mmoja, ngoja tuendelee kusaka file zake zote zipate kuanikwa jukwaani watanzania na Duniani wamjue vizuri.
 
Matusi ccm ndio kwetu wala msishangae.

Sasa matusi ndio kampeni za kistaarabu mlizoahidi? Mmeishiwa hoja ndio maana JIWE anaishia kusifia uzuri wa mama Samia badala ya kujibu hoja kwanini anakiuka sheria katika manunuzi ya miradi yake inayogharimu nchi mabilioni ya shilingi zikiwemo ndege anazonunua cash?
 
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.

Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio msimamo wa CCM Taifa kuwa CCM siku hizi wanawachukulia wanawake kama Malaya.

Cha kushangaza hutasikia NEC wakikemea jambo hili, hutasikia CWT wakikemea jambo hili, hutasikia hata Polisi wakikemea jambo hili.

Nawaomba wanawake wote, kwa umoja wenu, kataeni kudhalilishwa kisa tu ni kampeni. Utu wenu ni zaidi ya siasa.

Leo ameyasema kwa Matiko, kumbuka kesho itakua wewe, mama yako au wanao kuitwa Malaya.

Nimeweka ni video hapo, credi kwa Maria Tsehai

Kuna mtu alisema nimeweka kipande tu, sasa nimeweka video nzimaView attachment 1554990View attachment 1554991
View attachment 1554992

Kanuni za uchaguzi zinasema je? Haya na Mwigulu si ya kufumbia macho.

Hatua stahiki plz.

Mwisho na mwisho hawa ni wa kufunza adabu Oct 28.
 
Watu kama nyie huwa nawashangaeni sana,,,sasa sijui ni double standard au ni mini!?

Yaani unashindwa kumkosoa Lisa ni wa mlengo wako but akisema maneno kama hayo MTU mwingine (mpinzani) huwa munasema matusi .

Munachefua sana...wanafiki muliokithiri.

Maneno kama hayo siyo mazuri iwe kasema mpinzani au CCM period!
Hata angesema mtu mwingine ambae sio mwanasiasa msimamamo wangu utabaki kuwa ule ule. aliyedhalilishwa ni ester matiko sijui nani, na sio wanawake wote.
Sina ushabiki wa kisiasa wa kishamba. Jamaa kachemka na ikibidi aombe radhi kwa aliye mtukana.
 
OK,sawa kama umeliona hilo!
 
Wewe IQ yako ni ndogo sana hukupaswa kuchangia hoja. Nilipouliza sio kwamba sijui masna ya neno malaya nilitaka huyo ambayel analalamika atoe tafsiri ya hilo neno maana niliishaona upeo wake ni mdogo kama wako.

Sio lazima uchangie kila hoja.
Ungeanzisha uzi wako kueleza mambo yako. Mleta mada anajua alichokileta. Ujumbe umekuingia kwa majibu uliyopewa.
 
Back
Top Bottom