Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Mambumbumbu mko wengi humu Jf kama mngekuwa mnaonekana mbona ingekuwa fedheha! Nikihesabu ambao wamekurupuka kunijibu bila kuelewa mantiki ya kuuliza kwangu nashangaa! Unafikiri nilipomuuliza mlalamikaji nilikuwa sijui maana yake?

Endelea kusubiri uletewe maisha mazuri na mwanasiasa unayemshabikia huku umekaa umebweteka.
K, huwezi ulizaa watu wazima jambo kama hilo
 
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.

Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio msimamo wa CCM Taifa kuwa CCM siku hizi wanawachukulia wanawake kama Malaya.

Cha kushangaza hutasikia NEC wakikemea jambo hili, hutasikia CWT wakikemea jambo hili, hutasikia hata Polisi wakikemea jambo hili.

Nawaomba wanawake wote, kwa umoja wenu, kataeni kudhalilishwa kisa tu ni kampeni. Utu wenu ni zaidi ya siasa.

Leo ameyasema kwa Matiko, kumbuka kesho itakua wewe, mama yako au wanao kuitwa Malaya.

Nimeweka ni video hapo, credi kwa Maria TsehaiView attachment 1554990View attachment 1554991
View attachment 1554992
Watu kama hao hawakosi kwenye jamii YOYOTE ILE DUNIANI. Unamkumbuka mama RAHABU yule kahaba wa YERIKO aliyewasaidi Wapelelezi wa Kisraeli? Hawa jamani wapo, tatizo ni kwamba jamii yetu haipendi kuambiwa ukweli wa mambo. Sasa la ziada ni namna wewe binafsi unapotaka kulitumia hilo kama MTAJI WA KISIASA, hiyo ni hoja yako wewe binafsi, jitahidi uieleze watu wailewe kadri utakavyo. Lakini, kataa, kubali hao wapo!
 
Point yetu hapa ni kwamba, kamanda Sirro alisema watu wafanye siasa za kistaarabu, sasa hawa ccm wanapotoa matusi Sirro anakuwa wapi ?, tanafahamu kwamba uongozi wa ccm hawawezi kuemea kauli hizo za matusi
Kamanda Sirro alikuwa anawaambia upinzani ndio wanaowajibika na kampeni za kistaarabu. Ccm haiwahusu. Sirro mwenyewe ndani ya magwanda yake ya khaki amevaa t-shirt ya kijani utamwambia nini?
 
Wanawake wengi huwapati kwa mtego wako huo. Wanawake watapiga kura kwa hoja.
Majuzi kule Kawe kuna mtu alisema wameletewa mrembo watamfundisha swaga za kitaa mbona hukuhoji kuwa mgombea anedhalilishwa?
Neno yule bila kutaja jina linasimama kwa yeyote yule alie karibu au mbali ya upeo wa macho ya alietamka ,kwa maana halisi ni woote
 
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.

Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio msimamo wa CCM Taifa kuwa CCM siku hizi wanawachukulia wanawake kama Malaya.

Cha kushangaza hutasikia NEC wakikemea jambo hili, hutasikia CWT wakikemea jambo hili, hutasikia hata Polisi wakikemea jambo hili.

Nawaomba wanawake wote, kwa umoja wenu, kataeni kudhalilishwa kisa tu ni kampeni. Utu wenu ni zaidi ya siasa.

Leo ameyasema kwa Matiko, kumbuka kesho itakua wewe, mama yako au wanao kuitwa Malaya.

Nimeweka ni video hapo, credi kwa Maria TsehaiView attachment 1554990View attachment 1554991
View attachment 1554992
Hahaa ccm kimebakinkuwa chama cha genge la wahuni tu. Hakina mbele wala nyuma.
 
Hili nishambulio baya ndani ya siasa namuhukumu matiko ulivyo

huyo alimwambia mh matiko Malaya mama yake yeye ninani inawezekana hata huyo anaemwita baba kwa maelekezo Yamama yake akawa waubini tu baba yake nikawa nimimi hapa
 
Inawezekana yuko na jina la ujombani kabisa
 
Neno yule bila kutaja jina linasimama kwa yeyote yule alie karibu au mbali ya upo wa macho ya alietamka ,kwa maana halisi ni woote
Yule ni umoja si wingi hivyo ni dhahiri aliyekusudiwa ni mmoja sio wote.
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha,mbona yule mwingine alimuita mtu mzima baba wa familia yani mwanaume mzima na madevu yake "mrembo" na hajaja kulialia mitandaoni?

..hapa kuna kijembe.

..halafu kuna tusi.

..huyu Mzee mtukanaji anatakiwa apumzishwe kufanya kampeni kwa muda.

..hapa tuweke pembeni vyama vyetu, huyu bwana hafai ktk majukwaa ya siasa.
 
Mleta mada, mie huwa nadhani watu ambao ni verified huwa hawasemi uongo. Umeweka hadi video lakini bado unapotosha, hauoni aibu? Hivi neno mwanamke na wanawake yapo sawa? Nilichokisikia hapo kasema Mwanamke yule ni malaya na siyo wanawake ni malaya. Au wewe masikio yako yanasikia kinyume? Na bahati mbaya umekata kipande kusudi uondoe mtiririko wa alichokuwa anakuongea huyo mtu. Unapokuwa verified user basi jaribu hata kuficha ujinga.
Video nzima hio hapo, kwahio akitukanwa mmoja tukae kimya??
 
Attachments

  • VID-20200901-WA0065.mp4
    11.8 MB
Huyu ni kiongozi mkubwa sana,pengine ndio msimamo wa chama chake kama si msimamo wa chama basi yafaa Katibu Mkuu na Mwenyekiti kuzunguka Tanzania yote kuwaomba wanawake wote Tanzania msamahaa na kuwaangukia.
 
Umesema sahihi kabisa
 
Esther Matiko ana tabia za wanawake wote wa Tanzania? Kumtusi mtu mmoja kunahusianaje na mamilioni waliobaki? Aadhibiwe kwa kosa kubwa la kumtusi huyo mama, lakini isiwe reference kwa wanawake wote, whether or not she's a prostitute, haimaanishi wamama wote wa nchi hii ni malaya.
 
Back
Top Bottom