Kwahiyo wewe ndiye unayeelewa Kiswahili zaidi? Umejaza tu kamasi kwenye fuvu lako hilo. "Mwanamke yule" kwani amemtaja jina? Kama hajamtaja jina, unajua anaweza kuwa hata mama yako wewe, maana naye ni mwanamke, siyo? Ushabiki huu unaokupofusha kutoyaona mambo kwa picha kubwa haukusaidii kitu chochote zaidi ya kuukomaza upumbavu wako. Saccos imetoka wapi tena kwenye huu mjadala? Mtu yeyote anayeukataa ujinga ni mwanachama wa chadema? Kwahiyo na wewe unategemewa na hicho chama chako kwamba unakipambania? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]