GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwamba anaishi kijanjajanja hadi kapatia Maisha.
Hii , your thread has been deleted and yesterday your post in Korean thread also deleted.

It's clear that now you're under surveillance , take care and be vigilant If you ignore you will face the same fate as other Ghayos Gang members...

Hahaha Maarasmbus...!!!
 
Kesho kubwa la maadui Freeman Mbowe ndiyo anapokelewa na kupewa bendera kuipeperusha kiti cha Urais.
 
Sijaona mtu wa kufanana na Tundu Lissu. Kati ya wapinzani wote ambao wanamtakia mema nchi hii na wanaitaji nchi iongozwe kwa misingi ya Haki na demokrasia, uchumi imara na utawala Bora..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…