hao mashabiki waache ushabiki maandazi
Tena wengine ukiwachunguza na wao wamezaliwa nje kama sio pembeni ya ndoa
😕😕😕😕
Lakini hilo lina ukweli jamani maana marehemu baba yake nasikia alikua sheikh mkubwa huko Kinondoni.Kama mtoto wa kiislam haipendezi ila ndio maisha yake aliyojichagulia.
Lakini hilo lina ukweli jamani maana marehemu baba yake nasikia alikua sheikh mkubwa huko Kinondoni.Kama mtoto wa kiislam haipendezi ila ndio maisha yake aliyojichagulia.
Hahahaaa, ile siku Ray C aliua.Nilicheka sana.Mi nikikumbuka tu maneno ya ray c eti bitches be like uwa nacheka sana kwa kweli
Mi nikikumbuka tu maneno ya ray c eti bitches be like uwa nacheka sana kwa kweli
SIku izi umekua fashion binamu, ila bora zamaradi, kituko kipo kwa aunty kuzaa nje ya ndoa, yani ni shidaaa
Baada ya mtangazaji maarufu nchini, zamaradi mketema, kujifungua mtoto wa ,mashabiki wake wamemjia juu mtangazaji huyo na kudai kuwa kitendo cha kuzaa nje ya ndoa ni kosa kwa mtoto wa kiislam kama yeye, kwani kinaonyesha kuwa hakulelewa kwenye maadili mazuri kama dini yake inavyotaka.
Mashabiki hao wamelaani kitendo cha mtangazaji huyo kuendelea kuzaa bila kufunga ndoa, kitendo ambacho watu wamekitafsiri kama uzinifu na uhuni.
Mashabiki wametisha ila kuna ka ukweli kidogo, sio zamaradi tu wanawake wengi siku izi wanajisahau wanaona kuzaa nje ya ndoa fashion, hii inachangia sana kuwepo kwa street children na ndio chanzo cha mateso kwa watoto wasiokuwa na hatia... bora zamaradi baba watoto wake kidogo nafuu hao akina mama mwantumu uko tandale hali ndo mbaya wanazaa kama kuku uwezo hamna bas shida tupu