Baada ya kujifungua nje ya ndoa, mashabiki wamvaa Zamaradi

Waoaji cku hizi hamna acha wadada zetu wazae 2 kujaza dunia vijana wengi wamekua marioo majukumu hawawezi.istoshe wanaume tuko wachache nao wako wengi free p ni lazma
 
Lakini hilo lina ukweli jamani maana marehemu baba yake nasikia alikua sheikh mkubwa huko Kinondoni.Kama mtoto wa kiislam haipendezi ila ndio maisha yake aliyojichagulia.

Sio uislam tu hakuna dini inayoruhusu kuzaa bila mpango/ndoa.
Si ajabu hao ndo wavunja ndoa za watu labda kazaa ma mume wa mtu.
 
Waoaji cku hizi hamna acha wadada zetu wazae 2 kujaza dunia vijana wengi wamekua marioo majukumu hawawezi.istoshe wanaume tuko wachache nao wako wengi free p ni lazma

mi nawaambia wasioolewa especially marafiki zangu
MUNGU ASIKUNYIME KATI YA VITU HIVI VIWILI HAPA DUNIANI kwa wanawake hasa
Mtoto
na mme
hivi vitu ni faraja sana baas tu yani
usiombe umkute mwanamke hana mme wala watoto
nna aunty yangh hana mme wala mtoto aisee yuko desperate mpk bas
mtoto ni mtoto tu
 
hicho kizamaradi hujidai kiko perfect sana ndo mana hao fans wake wanamchamba! BTW uyo Ruge yani huwa hata haonyeshi kama anamkaza Zama na hata binti hua hana lile hashuo la baba watoto wake! Ruge nadhani hua anaenda saa8 usiku anamtia anasepa hi hi hiiiii
 
Hao wanawake wengine walio ndani ya ndoa wanazaa waotot na wanaume wa nje ya ndoa, mtoto ni mtoto, Diamond anamlea mamake kuliko hata watoto waliozaliwa ndani ya ndoa.
 
mi nawaambia wasioolewa especially marafiki zangu
MUNGU ASIKUNYIME KATI YA VITU HIVI VIWILI HAPA DUNIANI kwa wanawake hasa
Mtoto
na mme
hivi vitu ni faraja sana baas tu yani
usiombe umkute mwanamke hana mme wala watoto
nna aunty yangh hana mme wala mtoto aisee yuko desperate mpk bas
mtoto ni mtoto tu

Dats true bila kua n family utakua mpweke sana istoshe kma mdada hajapata w kumuoa n heri azae 2 aongeze furaha yke.istoshe nayo magonjwa n ajali vimetuandama ngoja nami nxtyea nioe mana kua single kuna vingi m2 unavikosa
 
Amezaa NJE ya ndoa akiwa NDANI ya ndoa#UKISTAAJABUyaZAMAutayaoniYAaunty

Hatari sana, na watu wanaona kawaida, ujue haramu siku zote uzaa haramu, usikute na yeye alizaliwa hvyo hvyo, laana inawafuata
 
Dats true bila kua n family utakua mpweke sana istoshe kma mdada hajapata w kumuoa n heri azae 2 aongeze furaha yke.istoshe nayo magonjwa n ajali vimetuandama ngoja nami nxtyea nioe mana kua single kuna vingi m2 unavikosa
fanya utafte jiko tena ulitoe humu jf
hicho kizamaradi hujidai kiko perfect sana ndo mana hao fans wake wanamchamba! BTW uyo Ruge yani huwa hata haonyeshi kama anamkaza Zama na hata binti hua hana lile hashuo la baba watoto wake! Ruge nadhani hua anaenda saa8 usiku anamtia anasepa hi hi hiiiii

hhhahhaaaaaaaaaa
hhhhaahahaaaa
 
mi nawaambia wasioolewa especially marafiki zangu
MUNGU ASIKUNYIME KATI YA VITU HIVI VIWILI HAPA DUNIANI kwa wanawake hasa
Mtoto
na mme
hivi vitu ni faraja sana baas tu yani
usiombe umkute mwanamke hana mme wala watoto
nna aunty yangh hana mme wala mtoto aisee yuko desperate mpk bas
mtoto ni mtoto tu

Umeongea vizur, ila kuzaa nje ya ndoa ni dhambi. Kuna sehemu ipi kwenye biblia imesema mwanamke asipoolewa basi azae nje ya ndoa? Faraja ya kweli ipo kwa Mungu, unaweza kuzaa wakafa, au ukazaa matahira au viumbe vya ajabu, tatizo dada zetu mmekaa mbali na Mungu, we unadhani ni kweli hakuna wanaume wa kuwaoa? Tatizo mmesahau kabisa kuwa mungu yupo, wengine hadi kwa waganga mnaenda ili mpate watoto au ndoa, apo kuna faraja gani? Msipotoshe watu, kuzaa nje ya ndoa ni laana, ndio maana watoto wa nje wanaitwa WATOTO HARAMU
 
hicho kizamaradi hujidai kiko perfect sana ndo mana hao fans wake wanamchamba! BTW uyo Ruge yani huwa hata haonyeshi kama anamkaza Zama na hata binti hua hana lile hashuo la baba watoto wake! Ruge nadhani hua anaenda saa8 usiku anamtia anasepa hi hi hiiiii

Its true itakua yupo nae kwa kulazmisha labda alijua akizaa nae ataolewa nae istoshe jamaa nae anapiga 2 hana future nae.akija kustuka kapigwa watoto 3 bila ndoa ila matunzo atapewa sisi wanaume tunajua akili zetu zinataka mwanamke w aina gani
 
Umeongea vizur, ila kuzaa nje ya ndoa ni dhambi. Kuna sehemu ipi kwenye biblia imesema mwanamke asipoolewa basi azae nje ya ndoa? Faraja ya kweli ipo kwa Mungu, unaweza kuzaa wakafa, au ukazaa matahira au viumbe vya ajabu, tatizo dada zetu mmekaa mbali na Mungu, we unadhani ni kweli hakuna wanaume wa kuwaoa? Tatizo mmesahau kabisa kuwa mungu yupo, wengine hadi kwa waganga mnaenda ili mpate watoto au ndoa, apo kuna faraja gani? Msipotoshe watu, kuzaa nje ya ndoa ni laana, ndio maana watoto wa nje wanaitwa WATOTO HARAMU

binamu mbona una hasira sana...!!!
hhhahahaaaaa
we huna dhambi au ndo zamaradi?
hakuna mtoto haramu tendo linalofanyika ndo haramu
asiezini humu ndani nani labda?
si bora zama kazaa hao wanaotupa chooni!
hebu msijifanye nyie ndo wachamungu kuliko wengine wakati kuna watu wazinzi humu,wezi,wanfki,wala na waliwa tigo
 
Wala sijasema eti wengine hatufanyi dhambi, tunafanya tena chafu zaidi ya hyo, ila usihalalishe dhambi binamu, tusitafute faraja bandia, kuzaa nje ya ndoa ni fedheha na aibu kubwa sana especially kwa familia ya mwanamke, we unadhani zamaradi akiachwa na huyo ruge kuna mwanaume atakayetaka kumuoa? Acheni kuzaa nje mnawapa shida watoto wa watu ambao hawana hatia kwa starehe zenu za kumanua manua ovyo kama kuku 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Well said
 
Back
Top Bottom