GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu ya NBC na Wao washuke kabisa Daraja.
Mbeya City FC wakiwa wanacheza na Simba SC huwa wanajitoa kwa 150% kutaka Matokeo ila wakicheza na Yanga SC huwa Laini na Nyoro Nyoro huku Wakilazimisha kutaka Kufungwa na Yanga SC na kiukweli huwa Wanafungwa au kutoka Sare ya Kizembe kama ya hivi karibuni baada ya Wao kutangulia kwa Goli 3 ambazo baadae zilirudishwa na Kunikera mno kama siyo sana.
Mbeya City FC washuke tu Daraja.