Baada ya Kukamatwa na TAKUKURU Shaffih Dauda ajitoa kugombea Ujumbe TFF

Una lako wewe sio bure. Something like WIVU WA KIKE
 
Kwani uchambuzi wanao ufanya kwenye runinga SI kazi halal?
 

Sumu tena kwani mwanzo wakati anagombea hakuyajua hayo[emoji57][emoji23]
 
Ila bna wabongo mna roho za chuki sna waacheni watu watafute mkate wao kihalali. Me nilitegemea mngekua mnadiscuss siasa chafu za Tff hadi kupelekea mtu ajitoe kugombania ujumbe tu wa kamati ila naona topic imekua nani analipwa na nani alipwi.


Simple minds discuss people,great minds discuss ideas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ukuku, analipwa milioni nane na laki mbili kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Pep
Amefanya uamuzi wa busara, amefanikiwa ku-pre empty mtazamo kuwa uongozi TFF ni kitu muhimu kwake wakati yapo mengi ya kufanya.

Vv
 
Eddo Kumwembe ni fulltime staff wa MCL na analipwa mshahara na pia ni part time staff wa AzamTV na Supersport
 
Achastory wewe southafrica snake end skis hangs majumba ama..siangekaa na mkewe kaama alipwi kha tetea magazeti siokule
 
Kwa hiyo na ile mikataba anayosaini inakuwa ya bure tu au... Azam, Spots pesa,Dstv na Mwanaspoti kote huko anafanya bure....

Yaani mtu ana tiketi ya ndege kwenda na kurudi msimu mzimu halafu unasema halipwi?

Acha masikhara bwana.
 
SHAFFIH DAUDA AJITOA UCHAGUZI WA TFF.

Mkuu wa Vipindi wa [HASHTAG]#cloudsfm[/HASHTAG] ambaye pia ni mdau mkubwa wa mpira wa Miguu, Shaffih Dauda ametangaza kujitoa rasmi kwenye mchakato wa uchaguzi wa [HASHTAG]#TFF[/HASHTAG].

@shaffih amesema amefikia hatua hiyo baada ya kuona mbinu na siasa chafu zinazoendeshwa dhidi yake. " Mimi ni mfanyakazi wa [HASHTAG]#CloudsMediaGroup[/HASHTAG], nilikwenda Mwanza kwa ajili ya kazi. Hapa [HASHTAG]#Clouds[/HASHTAG] tumelelewa kufanya kazi kwa bidii kufikia malengo na sitaki mambo yangu binafsi ( kugombea uongozi TFF ) kuharibu malengo ya [HASHTAG]#NdondoCup[/HASHTAG] na Taasisi kwa ujumla. Pia nimehangaika kutengeneza jina langu kwa miaka mingi. Natangaza kujitoa rasmi, na nitaendelea kuchangia kwenye maendeleo ya soka nchi hii nikiwa sio kiongozi " @shaffih.

Source clouds tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…