Baada ya Kukamatwa na TAKUKURU Shaffih Dauda ajitoa kugombea Ujumbe TFF

Sikuwa na nia ya kukomenti kitu ila umenifanya ni comment

Aisee bro jitahidi sana kuficha kiwango cha ujinga ulicho nacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwandishi mwenye weledi ulipaswa kutambua hilo kabla ya kugombea nafasi ya uongozi TFF. Kumbuka katika kugombea uongozi wowote mambo yako binafsi si siri tena, kama utakuwa unasifa mbaya zitahusishwa na uongozi tu. Hata hivyo ukiyavulia maji nguo ni sharti uyaoge na si kuleta malalamiko kama hayo, vinginevyo hukupaswa kuingia kwenye kinyang"anyiro hicho wakati wewe si stable kuimiri mikikimikiki kama hiyo.
 
Ametoa rushwa au hajatoa? Tuanzie hapo kwanza...punguza mahaba kwa Dauda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ana elimu gani ya Uandishi wa habari?
 
Sio michezo tu

Shaffih Dauda ndio Mkuu wa vipindi wa clouds Kwa sasa akichukua nafasi kama sikosei Sebastian Maganga or Simon Simalenga

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu huyo Simon Simalenga Yeye ni Afisa Mahusiano tu wa Clouds Media Group na hata huyo Sebastian Maganga nae bado yupo na kama sijakosea ' Kicheo ' hapo Yeye ni baada ya Ruge ukiachia mbali ' Taita ' mwenyewe Joseph Kusaga na Mkewe. Shaffih Dauda ni Mkuu tu upande wa Radio huku kama sijakosea katika Tv Bosi kule ni Mwanadada Joyce Shebe ( ambaye hata hivyo nasikia kabadili dini Kisirisiri kuwa Muislamu na hadi pia kuolewa Kisirisiri ) akishirikiana na Kijana wa miaka ya kati Jerome Risasi huku upande wa Choice fm Bosi wao Mkuu akiwa ni Mpenda ' Kujiremba ' Antonio Nugas a.k.a Mtembezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…