Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwa na nia ya kukomenti kitu ila umenifanya ni commentKuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house
Azam pia halipwi.
Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio michezo tuShaffih Dauda ni Mkuu wa Idara ya Vipindi vya Michezo.
Kama mwandishi mwenye weledi ulipaswa kutambua hilo kabla ya kugombea nafasi ya uongozi TFF. Kumbuka katika kugombea uongozi wowote mambo yako binafsi si siri tena, kama utakuwa unasifa mbaya zitahusishwa na uongozi tu. Hata hivyo ukiyavulia maji nguo ni sharti uyaoge na si kuleta malalamiko kama hayo, vinginevyo hukupaswa kuingia kwenye kinyang"anyiro hicho wakati wewe si stable kuimiri mikikimikiki kama hiyo.SHAFFIH DAUDA AJITOA UCHAGUZI WA TFF.
Mkuu wa Vipindi wa [HASHTAG]#cloudsfm[/HASHTAG] ambaye pia ni mdau mkubwa wa mpira wa Miguu, Shaffih Dauda ametangaza kujitoa rasmi kwenye mchakato wa uchaguzi wa [HASHTAG]#TFF[/HASHTAG].
@shaffih amesema amefikia hatua hiyo baada ya kuona mbinu na siasa chafu zinazoendeshwa dhidi yake. " Mimi ni mfanyakazi wa [HASHTAG]#CloudsMediaGroup[/HASHTAG], nilikwenda Mwanza kwa ajili ya kazi. Hapa [HASHTAG]#Clouds[/HASHTAG] tumelelewa kufanya kazi kwa bidii kufikia malengo na sitaki mambo yangu binafsi ( kugombea uongozi TFF ) kuharibu malengo ya [HASHTAG]#NdondoCup[/HASHTAG] na Taasisi kwa ujumla. Pia nimehangaika kutengeneza jina langu kwa miaka mingi. Natangaza kujitoa rasmi, na nitaendelea kuchangia kwenye maendeleo ya soka nchi hii nikiwa sio kiongozi " @shaffih.![]()
Source clouds tv
Ametoa rushwa au hajatoa? Tuanzie hapo kwanza...punguza mahaba kwa Dauda.Hata juzi tu katika moja ya posts zangu kuna mahala nilimlaumu sana Shaffih Dauda kujiingiza rasmi katika kutaka ' Uongozi ' ndani ya Soka la Bongo ambalo binafsi siogopi kusema kwamba limejaa Uhuni na lina Wahuni wengi ambao hata uwezo wao wa ' Kufikiri ' ili kulinusuru Soka la Tanzania ni mdogo mno.
Tatizo Dauda alidanganywa sana na Rafiki yake ' Mjanja Mjanja ' Kiongozi wa DRFA Bwana Almasi Kasongo kuwa ajikite TFF wakati ukweli ni kwamba huyo Bwana Kasongo kuna ' mteremko ' fulani wa ' Kimaslahi ' alikuwa anautaka na ameshaanza pia kuupata kupitia ' Ndondo Cup ' hivyo muda mwingi akawa anamuhadaa Shaffih Dauda.
Sasa mambo yameshaharibika kama hivi huku ' Credibility ' yake ikiwa tayari imeshaathirika leo ndiyo anaamua kujitoa katika Kinyang'anyiro. Kwa Mtu mwenye Elimu kubwa na nzuri kama ya Dauda na Mtu ambaye anajitambua kamwe hawezi kuthubutu kugombea Uchaguzi ndani ya TFF hii iliyojaa Wahuni na Mchwa watupu.
Hili liwe fundisho kwa wengine!
Kama mwandishi mwenye weledi ulipaswa kutambua hilo kabla ya kugombea nafasi ya uongozi TFF. Kumbuka katika kugombea uongozi wowote mambo yako binafsi si siri tena, kama utakuwa unasifa mbaya zitahusishwa na uongozi tu. Hata hivyo ukiyavulia maji nguo ni sharti uyaoge na si kuleta malalamiko kama hayo, vinginevyo hukupaswa kuingia kwenye kinyang"anyiro hicho wakati wewe si stable kuimiri mikikimikiki kama hiyo.
Basi sawa...kazi ipo
Kwani alisanukiwa ametoa au amekula!!??? Bahati mbaya takukuru wakamkuta mweupeee...sidhani kama Daudah alitoa au alikula mlungula....All in all kila mtu ana udhaifu wake!!Sizitaki mbichi hizi baada ya kusanukiwa umetoa mlungula ndio umeamua kujitoa kulinda heshima yako njaa zitawaponzaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio michezo tu
Shaffih Dauda ndio Mkuu wa vipindi wa clouds Kwa sasa akichukua nafasi kama sikosei Sebastian Maganga or Simon Simalenga
Sent using Jamii Forums mobile app