Baada ya Kukamatwa na TAKUKURU Shaffih Dauda ajitoa kugombea Ujumbe TFF

Baada ya Kukamatwa na TAKUKURU Shaffih Dauda ajitoa kugombea Ujumbe TFF

Kuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house

Azam pia halipwi.

Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na dogo ndugu yangu anatuma tuma hadithi kwenye magazeti, zikichapishwa alikuwa analipwa sembuse makala za kiufundi za kina Eddo ?! Wachambuzi wote Duniani wanalipwa, halafu dstv unawaona wana pesa ya mawazo ? ....aisseeh wewe ndo wale wanaitwa makanjanja !
 
Shaffih Dauda ni Mkuu wa Idara ya Vipindi vya Michezo.

Siku nyingine ukijua kuwa huna ' uhakika ' na unachokijua basi jitahidi sana kuficha ' Uozo ' wako unaokusumbua. Nakupa Kazi fanya tena utafiti wako juu ya nafasi ya Shaffih Dauda hasa ' Kicheo ' hapo CMG. Nasubiri jibu langu tafadhali kabla sija log out dakika 12 au 11 zijazo.
 
Nilikuwa na dogo ndugu yangu anatuma tuma hadithi kwenye magazeti, zikichapishwa alikuwa analipwa sembuse makala za kiufundi za kina Eddo ?! Wachambuzi wote Duniani wanalipwa, halafu dstv unawaona wana pesa ya mawazo ? ....aisseeh wewe ndo wale wanaitwa makanjanja !
Huyo jamaa hajielewi

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Siku nyingine ukijua kuwa huna ' uhakika ' na unachokijua basi jitahidi sana kuficha ' Uozo ' wako unaokusumbua. Nakupa Kazi fanya tena utafiti wako juu ya nafasi ya Shaffih Dauda hasa ' Kicheo ' hapo CMG. Nasubiri jibu langu tafadhali kabla sija log out dakika 12 au 11 zijazo.
We in bwana Ruuuuuu geeee nini mbona mkwara huo mtoa hoja hatakuwa na majibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanza Mkuu umenikisea heshima. Among all unanifananisha na Lisu, kweli?...

Pili, kwenda kuona mechi is it a big deal?.... Wambie wakuonyeshe nyumba walizojenge ndio big deal hapa town... Hawa macelebrity kama huwajui watakupa shida sana ila ukiwa unawajua utajua how they live in usanii way hapa mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
.....umerukia nyumba ! Kuna wahindi hapo mjini matajiri lakini hawana shamba, nyumba wala viwanja, wao wamepanga National Housing tu
 
Tena huyu boya huwa anatuandama sana Arsenal bora takukuru wangemlaza kama jamaa mkuu wa TFF akili imkae.

Sent using Jamii Forums mobile app

Chuki za aina hizi hatuzihitaji katika michezo na hasa mchezo unaoependwa wa Soka. Nadhani kama ni Mtu au Watu ambao tulitakiwa kuwa na hizo Chuki zako kwa Dauda basi ni Sisi wana Simba SC na wana Liverpool FC kwani kiukweli ' Jamaa ' huwa anatuponda mno ila kwakuwa tunajua kuwa huu ni mchezo huwa tunavumilia huku mengineyo tukiyafanyia Kazi.

Jifunze kuwa ' Mwanamichezo ' ana kuleta chuki za Syria au Palestina katika mambo ya michezo. Nimesikitika sana na hii post yako na pia nimegundua kuwa Wewe utakuwa ni ' Shabiki ' maandazi ambaye umeanza kufuatilia mambo ya mpira miaka ya hivi karibuni tu.

Sasa mwana Arsenal Wewe ambaye kwa miaka kadhaa tu hapa umekuwepo katika Top Four ya ' EPL na hata kushiriki sana tu Champions League na kuna Vikombe kadhaa hapa katikati umevibeba na Sisi Liverpool ambao ni ' tia maji tia maji ' na ' hobela hobela ' tokea mwaka 2000 bila mafanikio yoyote nani alipashwa ndiyo alalamike, alie na amlalamikie Dauda kwa ' Madongo ' yake?

FIFA wanataka FAIR PLAY na hiyo FAIR PLAY haiishii tu kwa Wachezaji bali hata Sisi Mashabiki / Wapenzi inatuhusu 100%.
 
f5450fe2131ff2186ca4bede4326d743.jpg

Da killer's
 
Baada ya hivi majuzi kukamatwa akihusishwa kutoa ' rushwa ' huko Mkoani Mwanza Mtangazaji, Mkuu wa Vipindi Clouds fm na Mchambuzi wa Masuala ya Michezo nchini Bwana Shaffih Dauda ametangaza rasmi kujitoa kugombea nafasi ya Ujumbe TFF katika uchaguzi Mkuu ujao.

Shaffih Dauda ametangaza uamuzi huo hivi punde tu akiwa anahojiwa na Kipindi maarufa cha 360 cha Cloudstv huku akisema kuwa ameona ajitoe ili kulinda heshima yake katika Jamii na kwamba ana mambo mengi ya kufanya zaidi ya kujihusisha na Uongozi wa TFF halafu akaishia tu kuchukiwa au hata kuwekewa Sumu na wale wanaomchukia.

Nawasilisha.

Je umefanya uchunguzi ukajiridhisha kuwa hao ambao umewataja hawana ajira? Usiandike kitu kama huna uhakika nacho.
 
Kwanza Mkuu umenikisea heshima. Among all unanifananisha na Lisu, kweli?...

Pili, kwenda kuona mechi is it a big deal?.... Wambie wakuonyeshe nyumba walizojenge ndio big deal hapa town... Hawa macelebrity kama huwajui watakupa shida sana ila ukiwa unawajua utajua how they live in usanii way hapa mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe una lao jambo.
 
Je umefanya uchunguzi ukajiridhisha kuwa hao ambao umewataja hawana ajira? Usiandike kitu kama huna uhakika nacho.

Narudia tena kusema na kusisitiza kwamba Mtu yoyote aliye makini na mwenye Elimu yake ya kumtosha na Kazi yake ya maana hawezi kuthubutu kupoteza muda wake kutaka kuwa mmoja wa wana Familia wa TFF hii ninayoijua Mimi iliyojaa Uhuni na Usanii mtupu. Nimemaliza!
 
Kuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house

Azam pia halipwi.

Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
This can only happen mong people with simple minds.

See they are now debating whether he is paid or not.

Hivi hili linakusaidia nini ww. Wengine aha mnmsema njaa njaa lkn mkewe ana afford kusuk nywele za gharama, kuvaa Nguo za ukweli watt wanasoma inter national do elf 10 kwa mwez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom