Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

urefu kuanzia fuyti tano ndo habar ya mujini...mwanaume mfupi msubiri mfupi zaidi yako!!
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUNA MWANAMUME MWENYE MAPENZI YA KWELI ila Dusheleleeeee tu ndo ina mapemzi ya kweli
 
Back
Top Bottom