Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Urefu ft 5,...ii dunia ina masihara. Kweli kweli bwahahahahaha
 
Daaaa, wazee labda mimi ndio huwa sielewi. Hivi mwanaume anajijuaje kuwa ana mapenzi ya dhati?
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
Mambo vp nimeona ujumbe wako niko tayari kuwa mpnz wako na hatimaye kuwa mumeo wa ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Back
Top Bottom