Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza (Wahenga). Mbona wapo bwelele tu, ila ungeweka nawe sifa zako, hata picha ukificha uso wanaume waone nawo ulivyoumbika..
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
 
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo awe na mapezi ya dhati

Kwa upande wangu sijawai zaa,sijawai olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mlio vutiwa na ujube wangu
Mungu awabariki sana
una watoto wangapi?
 
Dada bdo hujampata tuu, mana hii ni thread ya pili sasa, ukimkosa pambana na hali yako


b60e961a7ee74bf5043e209a2edade5a.jpg
 
vjana wa miaka 27-30 hawanampango wa kuoa jarb kubadilisha vgezo dada

sent from aifoni seveni plasi
 
Back
Top Bottom