Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Anachekesha huyu inamaana hataakiolewa mumewe akipata gari akaendesha ndoa inavunjwa maana vigezo vimeondoka kutotaka Dereva na ikitokea akafundishwa mapenzi ndoa hakuna maana mume keshakuwa mwalimu huyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
we nawe
 
Joseverest hao wanaotafuta wachumba hata siyo new member. Ni senior/expert member ila wanachofanya ni kutengeneza ID mpya kwa kaz hyo hyo moja kama 'kujihami' wanaogopa kuzodolewa.
 
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo awe na mapezi ya dhati

Kwa upande wangu sijawai zaa,sijawai olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm

NB:Naitaji mwanaume maji ya kunde asiwe mweupe wala mweusi lizingatiwe wapendwa
Daaa nna kila sifa ila ww hjasema sifa zako n zip dada
 
Back
Top Bottom