Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kwa hiyo hayo makundi uliyoyabagua hayafai kwa jamii?
 
Wadada wanaotafuta Wachumba afu wanakua na Masharti mengi mithili ya Waganga wa Kienyeji km uyu aliyeleta mada ndo huishia Kumegwa tu hamna Ndoa
Ushauri wang Punguza Vigezo na Masharti
 
Poa asee kila la heri bibie...
umejiunga jana umeshajua mambo ya PM...aseeh
Anachekesha huyu inamaana hataakiolewa mumewe akipata gari akaendesha ndoa inavunjwa maana vigezo vimeondoka kutotaka Dereva na ikitokea akafundishwa mapenzi ndoa hakuna maana mume keshakuwa mwalimu huyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Aisee, baadae anakuja kulalamika

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Back
Top Bottom