Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Bibie mimi nimesomea udereva lakini sijawahi kufanya hiyo kazi, vipi nije sirini tusemezane?
 
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote isipokua Dereva,Mwalimu,Police awe anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo awe na mapezi ya dhati

Kwa upande wangu sijawai zaa,sijawai olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm

NB:Naitaji mwanaume maji ya kunde asiwe mweupe wala mweusi lizingatiwe wapendwa
Daahh vigezo vyote ninvyo...
Ila hapo kwenye dini tu ndo nimefel...
Dah kwel sina bahati[emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom