Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Umesema hujawahi zaa sindio?????
Je? huna watoto ulio waua?????
Hii itapelelekea uwe mama wa marehemu..
 
kuna mwenzio humu (mwanaume) nae alikuwa anatafuta asubuhi hebu tafutaneni mkayajenge
 
ha
Dada bdo hujampata tuu, mana hii ni thread ya pili sasa, ukimkosa pambana na hali yako

b60e961a7ee74bf5043e209a2edade5a.jpg
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
 
Ndoa sio mchezo are you ready mentally? Niliskia mhenga ndoa hupangwa kwa mungu unasali saaana? Good luck and good luck
 
Mnaotafuta wenza funzo...

Humu kuna namna intudrug emotionally automatically kwa sababu ya kwanza avatar halafu anae post unakuta anafanana kabisa na avatar...mfano Mimi nampenda sana shunie ...avatar yake na post zake zinashabihiana kwa hiyo hata siku nikimuona asilimia nyingi Fulani zinasadifu alivyo...mnaoandika kutafuta kwanza neno mume au mke hamli deserve ...mtu anaandika sitaki vibamia...awe na kazi...umri miaka...kama huwezi pita mbele...mtagegedwa sana humuhumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli
 
Back
Top Bottom