Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Maana ya Daby Ni nini au is just a nameHaha [emoji119][emoji119][emoji106][emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ya Daby Ni nini au is just a nameHaha [emoji119][emoji119][emoji106][emoji106]
Hasa Uzi uanzishwe na MdadaJF threads za mapenzi zinatrend sana.Love is so contagious
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha,umepiga kwenye msumari apo.
Mara nyingi Uzi wa Me unapoooooaa Sijui kwa nn[emoji14]Hahaha,umepiga kwenye msumari apo.
Men(hunters by nature)
Kutokana na hiyo nafasi na vigezo vipo ambavyo naweza kukunyambulishia.Habari zenu wanachama wa JF,
Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.
Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.
Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
Iyo mbona iko wazi mkuu,Ladies kicks
Is not just a name, ni initial ya majina yangu ya mbele
Habari zenu wanachama wa JF,
Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.
Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.
Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
Yes ,, umeandika short lkn umeeleweka sana Mara mia zaidi ya nyuzi zote nilowahi kuzisoma km hizi !!.
Kwa maandiko yako tu unaonekana wewe namwanamke usiye na blah blah ,mcheshi ,unayezungumza na watu tofauti ,nilichokipenda sana kwako Ni hii
" ambaye MUNGU akijalia atakua mwanandoa wangu " .
Lkn pia nmependa " Aina ya uchaguzi wako ,Umeweka sifa ambazo umetizama mustakhbal WA maisha nasio km wengine wanavyoangaliaga Sifa ktk maana ya Sex .
.Nakutangaza Rasimi Kua mwanamke unayestahili naww ni mwanamke sio mschana.
Mungu akusaidie sawa sawa na mapenzi yako ,, akuondolee waharibifu wote uko PM.
Hahahaaa bikira haiachwagi salama hata barmaid aliwahi kuwa bikira
swali fikirishi[emoji23] [emoji23]Daaaa, wazee labda mimi ndio huwa sielewi. Hivi mwanaume anajijuaje kuwa ana mapenzi ya dhati?
hacked[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo vp nimeona ujumbe wako niko tayari kuwa mpnz wako na hatimaye kuwa mumeo wa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app