Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Unapoelekea utakuja kutafuta ata wa kulala nae siku moja
 
Kwa jinsi ulivyo nadhani unahitaji msaada kuliko jinsi unavofahamu, juzi umetangaza unahitaji mchumba leo umegairi!
Napatashida sana kukuelewa, pili aina ya uandishi wako, na namna ulivyoandika inaonesha wewe ni mwanamke wa namna gani.
Meisho umeandika kana kwamba wewe sio mwenyehitaji la kuzalishwa ila anayekuzalisha ndio mwenyehitaji, napata shida km atakayekuzalisha hutamgeuka na kusema ahusike na malezi wakati umatamka kuwa utamlea.
Kwa mwanaume makinj anayejua nini maana ya mzazi hatakukubalia unachokihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtazamo pia
 
Mhhh kwahiyo ile nzengo yote uliyosema imejazana pm juzi imefeli intavyuu hadi umeghairi kuolewa!? Anyway, siku ukitaka show ya siku moja unitag nitume application...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Yaan mie sina mke na naitafuta kweli. Tena hata Leo ngekutolea mahari.
Ila ww jeuri sana aisee nilivokua sipendagi jeuri nitakufundisha burre niishie kunyea ndoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani wewe ni ME? Kila siku nazimika na hiyo avatar yako japo haionekani vizuri...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Usikute ni jasusi hili kuna mtu linamtafuta humu😱
 
We nilikuona wa maana katika uzi wako wa mwanzo kumbe ni wale wale tu sunguratope. Kagongwe na mifugo basi hamna mwanaume wa kupelekwa kistahili hio siku hizi!
 
Duuuuu, hii ndio siredi iliyoanzishiwa siredi kule kwingine [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu unaingilia majukumu ya Mungu sasa!

Kumbuka MUNGU ndo anajua viability za watu wanaofanya hiko kitendo.

brain is the beautiful part of the body.
 
Ushavurugwa wangu jipatie katoto utulie ndo amani ya roho yenyewe

IRON LADY!!!!
 
Hivi ungeandika vizuri bila ukali na ugangwe si yangetimia pia. Wewe unaonekana ukipata hiyo mimba mwenye mimba atakukoma hata kwa vibao utamtimua.. labda ndio maana hadi leo wanakukimbia... jitafakari.
 
Umeandika kibabe sana
Tumia polite language.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…