Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Hii ni thread ya 6 uliyoanzisha, na zote unataka mwanaume. Ni jambo jema, ila mimi naomba akikosa mume, utafute majibu ya maswali yafuatayo:
1. Je, Ndoa ni mpango wa Mungu au mwanadamu?
2. Je, Mungu aliyekupa ulivyonavyo kwa nini hakukuamini kupita kiasi akakupa kwa wakati uupendao?
3. Ni udhaifu upi unaofanya wanaume wanaokufahamu wasikuoe mpaka utafute huku? Unaweza kufanya lipi ubadilike?
 
.......................................................................................
............................................................................................
...........................................................................................
😎
 
Watu siki izi hawavutiwi na ujumbe maah
Wanavutiwa na mwonekano[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…