Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Kundu unanitoa roho kwa kicheko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13]Hali ngumu mpaka wanaume wamegoma kutongoza watu wanajifia na genye mitaani kweli tunaisoma namba, wanawake tutembee na mabango Kama Yule mama WA kikenya Hali tata.
Ningehitaji na Mimi ningeweka Bango Langu, kwaleo pambana na aliyetoa fursa.
Kama uko serious njoo pm ila mimi nitakuandaa kuwa mke kwa siku za usoni na si vinginevyo!Natafuta mwanaume wa kuniiwaza na kunipa raha na si vinginevyo nimechoka kuwa mpweke awe na sauti nzuri ya kimahaba maumbile ya mvuto na kifua cha kuvutia asiwe mweusi sana
mwenye kupenda aje pm
Embu litaje Jina Langu mpaka Mwisho unaharibuu ladha πππKundu unanitoa roho kwa kicheko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13]
nakujaKama uko serious njoo pm ila mimi nitakuandaa kuwa mke kwa siku za usoni na si vinginevyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo ushange kwa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashart kibaoooo wakati wew ndo mwenye shidaaaa.............msichana mwenye sura...nzuri....kitu gani kinakufanya usioleweeee.............
Sent using Jamii Forums mobile app
Me napenda kutaja majina kwa vifupi.Embu litaje Jina Langu mpaka Mwisho unaharibuu ladha πππ
Kuolewa umeenda mbali kupata tu wa kumtoa kutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashart kibaoooo wakati wew ndo mwenye shidaaaa.............msichana mwenye sura...nzuri....kitu gani kinakufanya usioleweeee.............
Sent using Jamii Forums mobile app