Me napenda kutaja majina kwa vifupi.
Mf
Joy
Dulla
Sam
Sa nkitaja lako kwa kifupi linapendeza saaana
Ku
Afu
Ndu
Yaaani
KUNDU
[emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] huna kifua una nini?
Kunduva naomba kazi.Hali ngumu mpaka wanaume wamegoma kutongoza watu wanajifia na genye mitaani kweli tunaisoma namba, wanawake tutembee na mabango Kama Yule mama WA kikenya Hali tata.
Picha yako iwapi?Natafuta mwanaume wa kuniiwaza na kunipa raha na si vinginevyo nimechoka kuwa mpweke awe na sauti nzuri ya kimahaba maumbile ya mvuto na kifua cha kuvutia asiwe mweusi sana
mwenye kupenda aje pm
Tuma picha na namba yako
sitaki maelezo mengi sana
kesho mechi jamani nawakumbusha tu YANGA NA SIMBA
ntajibu 10 wa mwanzo tu