Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Si mchezo vijana fursa hiyo[emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Pambana na hali yako wazi wazi sio kwa kujificha kwenye komputa. Mchana unakwepana na wanaume unawazarau eti unataka mwenye kazi, gari , nyumba na maisha bora sisi wasukuma toroli unatukimbia halafu unakuja huku kulanamika. Jitokeze wazi hadharani kama huyu NYAMBURA wa KENYA alivyofanya
 
Ndugu kwa vigezo ulivyoweka nenda kwenye gym iliyokaribu nawe. hutajutia
 
Mbona kule PM hujibu?

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
😱😱😱😱
 
Wataka sifa nyingi kwa mwanaume, nawe weka sifa zako na picha juu..mambo usawa siku hizi..
 
Hali ngumu mpaka wanaume wamegoma kutongoza watu wanajifia na genye mitaani kweli tunaisoma namba, wanawake tutembee na mabango Kama Yule mama WA kikenya Hali tata.
Yaani wewe unavituko aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bora muwe na mabango kabisa sasa eeeh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigezo vyote nnavyo ila mi mweusi..mashine iko standard..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…