Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Ukiona mwanamke kila mwanaume anayempata anamuacha bila shaka tabia hizi lazima awe nazo

1)Kuomba omba hela hovyo

2)Kutozingatia usafi was mwili na mavazi.

3)Hawezi kupika.

4)Jeuri na kisirani kisichokwisha.

5)Mswahili swahili

6)Kutotambua thamani ya mume/mpenzi aliye naye.

7)Hana mawazo positive sana sana kuhusu Uchumi na bidii ya kazi.

8)Mvivu kitandani.

9)Kuwa na kasoro katika maumbile yake ya siri mfano wa kasoro kuu no Harufu Kali kutoka ukeni.

10)Kutowaheshimu wakweze na ndugu wa mume.
 
Malikia wa nguvu wako bize kusaka maisha wewe unahangaika na dudu, fanya utakavyo mwili wako wala haulipii chochote.
 
Mkuu unayempa ushauri mbn mda huu yupo badoo online kapost paja


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vumilia.

Mvumilivu hula Mbivu.

Ni suala la Muda tu.

Wakati ukifika, wewe mwenyewe utashangaa jinsi mambo yanavyokwenda
 
Hivi wanatafuta weeee kwani wamepotea huko mtaani.sehemu nzuri za kupata wake na waume ni kwenye mikusanyiko ya watu wengi,nakuja hapa na masharti mengi wakati huko m itaani mnako waona wenye igezo Hawaii,ukileta Uzi wanatafuta ukubali mwanaume yeyote yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejalibu kutembelea kijijini kwenu umekosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikwambie kitu kizuri wewe.ni sawa Na MTU mwanga
JF walianzisha Jukwaa hili kwa jili ya hivi
Wewe kinakuuma Dada wa Watu kujipatia mume??dhambi gani kufanya Na why ufungue hapa kama huamini
Eti.kijijini umeshindwa kupata maana ya science Na technology unayajua Wewe.
Acha mawazo mgando Na nenda kafungue Jukwaa la Siasa mana huku hupaweze.Hujaitwa Na hatuhitaji Watu kama nyie.Mawazo Negative!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…