Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Usiwe na haraka. Maisha ni foleni. Kila siku watu tunaachana na kupata wengine hadi unafanya kuwakimbia tu. Jipe muda. Jiulize unataka wa kuhave fun au wa maisha. Jipange dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi mkipata wakweli na waaminifu haswa wacha Mungu hua Mnawaona Washamba..Mnataka ambae atatenga japo lisaa la kunywa bia na wewe..Pia hua mnashindwa kujitunza kwa mavazi ya heshma mkiona mnajizeesha..MUME MWEMA LAZMA AWE MCHA MUNGU NA WEWE HIVYO HIVYO..Pia mkikaa mda mrefu ktk ndoa hujiona mmefika na kuanzisha michepuko..
JIBADILISHE MRUDIE MUNGU NA UTULIZE NAFSI YAKO KWA SUBIRA UTAMPATA MUME WA KUKUOA..ILA USITAKE MUME WA KUJIONYESHEA HUTO DUMU KTK NDOA.TAFUTA MUME WA KUKUSTIRI MAISHA YAKO YOTE NA UWE MCHA MUNGU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio utagundua kuwa huyu ni m****a hapa kaja kujitangaza, kwanini asiende badoo? Maana kule wenzake wanatangaza live vyote wanavyouza pamoja na huduma nyingine wanazotoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa kahaba tu ukiona mwanaume unamuelewa unakomaa hapohapo hawa watu ukijifanya wife material utachachia nyumban usiwasikilize ushangai wale micharuko Ndio kila kukicha wanaolewa jichanganyee tu.
Mmh wewe acha kumdanganya mwenzako etii. Kakuambia nani atampata bwana kwa staili hiyo! Hebu fanya maombi ya kweli na utubu kila kitu kinawezekana kwa maombi ya kweli ila si kuwa kahaba eti utampata bwana labda wa mabwana tuu ila bwana wa kukuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa kahaba tu ukiona mwanaume unamuelewa unakomaa hapohapo hawa watu ukijifanya wife material utachachia nyumban usiwasikilize ushangai wale micharuko Ndio kila kukicha wanaolewa jichanganyee tu.
Mpenzi Kundu we ndo umeandika haya?
 
Sifa tele mtu mwenyew ndo huyu
2bb2db3c89b2bfa9bc55fbff5695da01.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Pole sana, kwa bahati nzuri nimeiona hii post wakati nipo hapa bar ya mi casa. Huwa naongea na wanawake walioamua kuwa makahaba wengi wao wanajutia sana kazi hii na wengine walifungiwa kinguvu kwenye madanguro baada ya kudanganywa kuwa wakifika mjini watapewa kazi nzuri au kusomeshwa shule nzuri tofauti na za kijijini.

Ninakushauri ulifute wazo hill akilini mwako, tena katoe na sadaka ya shukrani kanisani kwako au msikitini kwako.
Mungu atakufungulia mlango na utampata wa ubavu wako.

Nakushauri usome habari Esther wa kwenye biblia na yule mwanamke kahaba alokutana na Yesu pale kisimani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom