Mchukue kweli...nimeumia anavyotaka kuwa kahaba jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchukue kweli...nimeumia anavyotaka kuwa kahaba jaman
Maserati , its been long time how are you ?Asiwe Malaya,awe kahaba. Kazi nzuri haulipi hata kodi,yeye tu na mwili wake. Na maamuzi yake
Hili lina ukweli kwa kiasi flan, nilishuhudia.Kuwa kahaba tu ukiona mwanaume unamuelewa unakomaa hapohapo hawa watu ukijifanya wife material utachachia nyumban usiwasikilize ushangai wale micharuko Ndio kila kukicha wanaolewa jichanganyee tu.
U hv said it all...!Hakuna dhambi kubwa kama kukata tamaa...
Tulia Muombe Mungu wako, kila jambo huwa kwa wakati
Amekujibu,? Asipokujibu ujue huyo ni KAHABA tayari alikuwa anazugaUsiwe kwanza kahaba, naomba hiyo nafasi.. Wenye mapenzi ya kweli bado tupo..
Mpaka hapo wewe ni kahaba tayari..!Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
Huyo Houston kafa kwasababu ya penzi la jamaa..! Hakuna penzi la mtu kujipenda hizo huwa ni desperate/defense mechanism. Adam aliubwa mwenyewe kashindwa kujipenda mpk alipopata Eva kila jambo likaenda.Binti yangu kihuba nimesoma kwa masikitiko sana, bahati nzuri nimekutana na Makahaba na nimeongea nao wengi sana, tumebadilishana mawili au matatu, wengi wanajutia, wengi wanalia bahati mbaya hakuna nafasi ya kurejea nyuma. Nakusihi sana sana, hilo wazo sio jema kabisa. Unataka upenedweje? Whitney Hauston (RIP) aliimba, The Greatest Love of All is learning to Love yourself, so Dear Learn to Love yourself, jione kuwa you are the best and usiruhusu mtu achukue furaha yako. Ndimi Elli
Ooh. Buddy,I'm fine. How are you?Maserati , its been long time how are you ?
Ya lyublyu tebya maserati.
Ooh. Buddy,I'm fine. How are you?
Hiyo maneno ya mwisho ndio ina maana gani?