Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Akili iliponza kichwa!Ungana na AggyJay maana inawezekana wote hamjajielewa ndio maana mnawazia ujinga!Biashara ni matangazo lakini kwa mahusiano ukijitangaza ndio unazidi kupotea!Otherwise uniambie hauna shughuli rasmi/wala hauna kipato chochote cha kujikimu na unatafuta mwanaume wa kukuhudumia!lakini kama uko stable kimaisha na unajielewa,una kipato basi huna sbb ya kutangazia umma ya JF kuwa ukahaba ndio solution!Jifikirie mara mbili!Aliyejikomboa kielimu na mwenye mawazo mazuri daima kamwe hawezi fikiria hivyo
 
Tena ufanye kisasa! Anzisha kundi la whatsap then toa link.
 
Tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usibembeleze saana kupendwa na binadamu, kama hawakupendi achana nao, nenda kwa Mungu, upendo wake hauna gharama
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
yaani unataka uharibu maisha yako kwa sababu ya ubinafsi wa watu.......think twice
 
atakua na shida huyu anahitaji msaada

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Huwezi kupata mwanaume wa ukweli kama wewe mwenyewe haupo vizuri,mwanaume unakutana nae leo hata mgando,madoido huna unamkubali,humjui hata hujawahi kumuona kesho ushachanua miguu juu na kelele nying za mahaba,kujirahisi sana nako kunachangia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpo na uzima wakuu leo naleta uzi kwenu,

Natafuta mume'

Mkristo na umri wake 29-40.
Awe maji ya kunde au mweupe.

NB: Mwenye sifa tuma picha yako na namba za simu jieleze kwa ufupi kuhusu wewe tofauti na hapo sito jibu sms yoyote.

Sifa zangu nina umri wa 26;
Mcheshi
Mnene kiasi
Mwenye msimamo thabiti
Siteteleki kwa mwanaume asiejielewa
Sina mtoto na sijawai zaa
Mweusi kiasi

NB; Napenda mziki, mtunzi wa story na ninapenda kupika sana nipo shap kwa kazi za nyumbani naweza kumlea mwanaume kama mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…