Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UMRI WAKE 26-40Umri tu nimekosa mke.
Hunter itakuwa calender mpya inatoa umri katika range.UMRI WAKE 26-40
"Kila penye uzito na wepesi upo"Sijuagi kwa nini upande umeshajua huna bahati nao kila siku unahangaika nao. Achana na mapenzi yatakuwehusha.
Kama muajiriwa tafuta shughuli nyingine ambayo utakuwa unaifanya kwenye muda wa ziada ili angalau uzidi kuwa busy mana kila siku mapenzi. Lol
SASA POLE YA NINI NA UMEANDIKA UMRI WAKO NI MIAKA 26-40 TUKUELEWEJE?? UMRI NI MMOJA TUMpo na uzima wakuu leo naleta uzi kwenu
Natafuta mume
Sifa za mwanaume ninae mtataka awe mcheshi,mkweli,mwenye nia ya dhati anae jitambua asiwe mwalimu wala daktari wala mwana sheria napenda mwanaume mjasiriamali,Mwenye sauti ya mahaba pia uume wake uwe umenyooka usipinde kwakua uwa sioni rahaa ya uuume ulio pinda tafandari kama nawakwaza
mkristo na umri wake 29-40.
Awe maji ya kunde au mweupe.
Awe mtu wa kujichanganya na watu wa mataifa mbalimbali sio alie kulia tu tanzania hapana
NB mwenye sifa tuma picha yako na namba za simu jieleze kwa ufupi kuhusu wewe tofauti na hapo sito jibu sms yoyote
Sifa zangu nina umri wa 26-40
mcheshi
mnene kiasi
mwenye msimamo thabiti
Siteteleki kwa mwanaume asie jielewa
sina mtoto na sijawai zaa
mweusi kiasi
NB Napenda mziki,mtunzi wa story na ninapenda kupika sana nipo shap kwa kazi za nyumbani naweza kumlea mwanaume kama mtoto
Siku zote jalala halina thamani, ................Naendelea na safari ya moyo wangu
KELELE ZA WATU NAZISIKIA ILA MANENENO SIYAELEWI fata moyo wako
pole
HUNTER HII KALENDA MPYAHunter itakuwa calender mpya inatoa umri katika range.
KWA HIYO MTOA MADA NI ME SIO KE???NAZIDI KUKUONYA MDOGO WANGU...MWANAMME MZIMA KUANDIKA HABARI ZA KUTAFUTA MUME ZITAKUJA KUKUPONZA SIKU MOJA
Hahahaaaa. Kaka jose. Wepesi unakuwepo ila naona kama mwenzangu anahangaika sana.Mara aseme anataka kuwa malaya, mara anatafuta mchumba yaani shida tupu."Kila penye uzito na wepesi upo"
huyu ni ME ila anataka mume.Hii inanishangaza sanaKWA HIYO MTOA MADA NI ME SIO KE???
Aisee muda mwingine nashindwa kumuelewa au ukute tunachezewa akili kama OTIENO BOSSLADY??Hahahaaaa. Kaka jose. Wepesi unakuwepo ila naona kama mwenzangu anahangaika sana.Mara aseme anataka kuwa malaya, mara anatafuta mchumba yaani shida tupu.
Aachane na huo upande tu kwa kweli.