Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Watu wakishajua kuwa ww ni mwanaume humu hata uweke thread 100 za kutafuta mchumba zitatoka bashite bashite
 
We hujaacha wenge tu bi dada, si ulisema umempata wa kukupenda kwa dhati humu humu?
Im having an odd feeling that perhaps its time you have to consult a psychiatrist.
pita tu
 
Sijuagi kwa nini kila siku unahangaika na huo upande ambao umeshaona huna bahati nao. Achana na mapenzi yatakuwehusha.

Kama muajiriwa tafuta shughuli nyingine ambayo utakuwa unaifanya kwenye muda wa ziada ili angalau uzidi kuwa busy mana kila siku mapenzi. Lol
 
"Kila penye uzito na wepesi upo"
 
NAZIDI KUKUONYA MDOGO WANGU...MWANAMME MZIMA KUANDIKA HABARI ZA KUTAFUTA MUME ZITAKUJA KUKUPONZA SIKU MOJA
 
SASA POLE YA NINI NA UMEANDIKA UMRI WAKO NI MIAKA 26-40 TUKUELEWEJE?? UMRI NI MMOJA TU

KUWA SPECIFIC 26, 27,28,29,30,31,32,33,34,35,36,37,38,39 AU 40
 
"Kila penye uzito na wepesi upo"
Hahahaaaa. Kaka jose. Wepesi unakuwepo ila naona kama mwenzangu anahangaika sana.Mara aseme anataka kuwa malaya, mara anatafuta mchumba yaani shida tupu.

Aachane na huo upande tu kwa kweli.
 
Hahahaaaa. Kaka jose. Wepesi unakuwepo ila naona kama mwenzangu anahangaika sana.Mara aseme anataka kuwa malaya, mara anatafuta mchumba yaani shida tupu.

Aachane na huo upande tu kwa kweli.
Aisee muda mwingine nashindwa kumuelewa au ukute tunachezewa akili kama OTIENO BOSSLADY??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…