Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

kweli kabisa
 
Aisee muda mwingine nashindwa kumuelewa au ukute tunachezewa akili kama OTIENO BOSSLADY??
Aisee umewaza kama mimi kaka. Nimeanza kumtilia mashaka na huenda akawa ni type hizo hizo ndio mana haoni shida kuandika vitu ambavyo havina kichwa wala miguu.
 
hapana mimi sio muongo
 
Yaani haiingii akilini kabisa THREAD 5+ za kutafuta mchumba/mpenzi/mume ZOTE AMEKOSA??? HAPANA AISEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…