Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Status ya mgegedo wako ukoje?
 
bado hujamaanisha... tangazo lina masihara ndani yake... by the way ur welcome!
 
Tatizo wanawake siku hizi hamtofautishi Kati ya kupata ajira na kupata mpenzi, zote mnachukulia km ajira!

Mwanamke akikwambia anatafuta mme Bora, simply means anatafuta mwanaume mwenye pesa
 
Habari zenu wadau

Naimani mu wazima wa afya, nimejitokeza tena kuwapa nafasi wale ambao wanataka kuoa mwaka 2018, sifa awe na rangi ya maji ya kunde au mweupe mrefu na mwili wa haja, umri 29--- christian RC atachukuliwa kipao mbele

Sitaki awe na mali nyingi mali nitatafuta nae mimi moja mpaka mia awe mjasiriamali, pombe, sigara asitumie

Nitampa mapenzi ya dhati kama akiwa na sifa za kiume zote.

Sifa zangu mpole mwenye mapenzi ya dhati nikipenda nimependa ila kinyume na hapo mwepesi kuchukua maamuzi ya kutokurudi nyuma kwa mtu mrudiaji wa kosa nina msimamo thabiti pia

Sio utani mwenye nia aje pm ukija kimasiara nitakupuuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…