BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Mimi sio muslim wala kristian ni myahudi nije pm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Status ya mgegedo wako ukoje?Mimi ni binti wa miaka 27,elimu yangu form 4 nipo tayari kwa kuolewa,natoa ahadi ndani ya wana jf nitampenda mume wangu na kumlinda namruhusu anisaliti ila anieshimu,dini yangu ni mkristo,napenda kupika na kulea watoto ,ni mpore mcheshi ila sipendi mtu anifanyi kusudi
Nina msimamo thabiti
Napenda biashara sana na kama unaitaji maendeleo nahakikisha utafika uta jutia!!
Mwanaume ninae mpenda awe mrefu futi tano,umri 29 kuendelea awe mjasiliamali kama hupendi biashara usije kabisa pm,elimu yoyote sipendi mwanaume Mwenye kujisikia na mbwembwe za mdomo,rangi maji ya kunde asiwe mnene au mwembamba sana awe na mwili wa kati
Awe ana utu daimaaa
Unapo kuja pm jieleze kwa ufupi sita jibu SMS za mikato karibuni pm
Nipo tayari kuolewa ata wiki ijayo tukielewana vema
hahaha, cheo kikubwa mno ulichonipa. kazi nyepesi mno hiiMkuu unafaa kuwa CIA. Kumbe anatuzingua tu eeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NambieKama una mchumba karibu kama unataka kuoa karibu!!! Napata wengi ila hawafai kuitwa baba wa familia mume bora sio bora mume
Njoooo pm
Nundu ndo chura au mjusi?Una nundu, una rangi ya mume from Dubai ?
Chura,maini vichuguu ,matutaNundu ndo chura au mjusi?
Siku hizi sikuelewi.... una kilugha kigumu kama profesa LumumbaChura,maini vichuguu ,matuta
Babu acha hizo bahna[emoji12] [emoji12]Siku hizi sikuelewi.... una kilugha kigumu kama profesa Lumumba