Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo huwezi kutufikiria hata kidogoUwa Sina mzuka aiseeeee
Mtu wa Kitengo wewe!Habari zenu wandugu Bado sijapata mume Wala mchumba yote ni kwasababu masiara mengi humu jf
Natoa nafasi nyingine kwa mwaka huu
Mwanaume anae hisi anahitaji mke
Sifa zake
Awe mwanaume haswa sio mwanaume asie jiamini
Dini mkristo
Umri miaka 29-40
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
Maji ya kunde au weusi wa kawaida usizidi
Mchapa kazi na anae penda mjasiliamali
Sitaki mwanaume mwenye tabia za kike maneno mengi Kama mtunzi wa stori
Mwenye mashauzi ya kujisikia sitaki pia
Awe na utu kwa wenzake
Asiwe mrefu Wala mfupi
Tabia zingine tuta zishepu
Sifa zangu
Binti mpole na mwenye msimamo thabiti,tofauti na hapo ni mwepesi kuchukia na mtu wa haraka kusameehe
Sio mwembamba Wala mnene nipo Kati na nyama kiasi
Makalio ya kawaida
Rangi mweusi
Napenda kupika na kufanya kazi zingine za nyumbani
Mcheshi ila sipendi kuonewa kupitiliza
Umri 28
Elimu kidato Cha nne
Sina kazi yoyote ila uwa nafanya vibarua vya hapa na pale Kama kubebea maji mafundi kufua nguo za watu na kusafisha ofisi za watu
Mengine tutazungumza
Kama hujapendezwa soma pita tu.
Pm wazi Ila sitaki maswali Kama tupo maahakamani .
Ni pm jieleze sifa zako weka na mawasiliano ntakutafuta nikiona nimesukumwa nikutafuta
Kwa mtu mwenye masiara mie ndo fundi
Umenikosa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]