Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Yule Mume uliyempata Adam ukamsifia amepeperukia wapi? Hebu kaa chini ujitathimini upya inawezekana una matatizo makubwa wanaume wanapiga na kusepa.
 
Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati

Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe

Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli

Msema kweli mpenzi wa mungu

Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext

Mfano vp?
.......haaaaaha

Sijui tyajendeee matofari sijibu.....

Na kadharika

Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
PM tafadhali
 
Wewe dada utakuwa unamatatizo tuu si bure, mwanaume mwenye Akili timamu akipitia Nyuzi zako lazima agundue kitu
 
Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati

Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe

Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli

Msema kweli mpenzi wa mungu

Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext

Mfano vp?
.......haaaaaha

Sijui tyajendeee matofari sijibu.....

Na kadharika

Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
Habari
 
Tangu mwaka Jana unaweka matangazo ya kutafuta waume ila unaambulia patupu...

Nakushauri Dada Yangu punguza masharti.. Weka masharti "Constructive" kwa Mme unaetaka kuwa nae.. Achana na vigezo ambavyo mtu akivisoma anakuona hauna vigezo vya kuwa Mke bora..

Eti unataka mwanaume mweupe !! Sasa weupe una mchango gani kwenye familia yako ? Unataka mwanaume mrefu ! Urefu utapeleka Watoto wenu shule ???...
Ukiendelea na hizi sifa na vigezo vyako utaishiwa kuchezewa na kuachwa ... Andaa na tafuta wanaume wenye vigezo "Jenzi" ..

NB: Kuna wanaume serious wanatafuta watu wa kuoa ila inabidi uwe makini sana kwenye mabandiko unayoandika kutafuta hao wanaume ... Maneno yako machache yanaweza kuwajengea picha jinsi ni mwanamke wa namna gani ulivyo ..

mleta mda fata huu ushauri.

yani unavyongea ni mcharuka tena ni mtuu umezoea kukaa uswazi. kubishana bishana.
 
Shenzzzzzyyy kabisa! Yan umri ushakuacha ndo unataka ubahatishe hapa jamiiii forum! Ha ha ha...pole sana, huyu hafai
 
Mkuu kama mwanamke anashindwa kupata mwanaume kwenye mazingira anayoishi ujue yeye mwenyewe ana tatizo.
Tangu mwaka Jana unaweka matangazo ya kutafuta waume ila unaambulia patupu...

Nakushauri Dada Yangu punguza masharti.. Weka masharti "Constructive" kwa Mme unaetaka kuwa nae.. Achana na vigezo ambavyo mtu akivisoma anakuona hauna vigezo vya kuwa Mke bora..

Eti unataka mwanaume mweupe !! Sasa weupe una mchango gani kwenye familia yako ? Unataka mwanaume mrefu ! Urefu utapeleka Watoto wenu shule ???...
Ukiendelea na hizi sifa na vigezo vyako utaishiwa kuchezewa na kuachwa ... Andaa na tafuta wanaume wenye vigezo "Jenzi" ..

NB: Kuna wanaume serious wanatafuta watu wa kuoa ila inabidi uwe makini sana kwenye mabandiko unayoandika kutafuta hao wanaume ... Maneno yako machache yanaweza kuwajengea picha jinsi ni mwanamke wa namna gani ulivyo ..
 
Habari zenu wandugu Bado sijapata mume Wala mchumba yote ni kwasababu masiara mengi humu jf

Natoa nafasi nyingine kwa mwaka huu

Mwanaume anae hisi anahitaji mke

Sifa zake

Awe mwanaume haswa sio mwanaume asie jiamini
Dini mkristo
Umri miaka 29-40
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
Maji ya kunde au weusi wa kawaida usizidi
Mchapa kazi na anae penda mjasiliamali
Sitaki mwanaume mwenye tabia za kike maneno mengi Kama mtunzi wa stori
Mwenye mashauzi ya kujisikia sitaki pia
Awe na utu kwa wenzake
Asiwe mrefu Wala mfupi

Tabia zingine tuta zishepu

Sifa zangu
Binti mpole na mwenye msimamo thabiti,tofauti na hapo ni mwepesi kuchukia na mtu wa haraka kusameehe

Sio mwembamba Wala mnene nipo Kati na nyama kiasi
Makalio ya kawaida
Rangi mweusi
Napenda kupika na kufanya kazi zingine za nyumbani
Mcheshi ila sipendi kuonewa kupitiliza
Umri 28
Elimu kidato Cha nne
Sina kazi yoyote ila uwa nafanya vibarua vya hapa na pale Kama kubebea maji mafundi kufua nguo za watu na kusafisha ofisi za watu

Mengine tutazungumza

Kama hujapendezwa soma pita tu.

Pm wazi Ila sitaki maswali Kama tupo maahakamani .

Ni pm jieleze sifa zako weka na mawasiliano ntakutafuta nikiona nimesukumwa nikutafuta

Kwa mtu mwenye masiara mie ndo fundi
 
Back
Top Bottom