Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Mwenye shida hufuata mganga. PM ipo wazi. Unakaribishwa.
 
Na sisi weusi kama barakah da Prince hatuna nafasi
 
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu wa Kitengo wewe!
 
Umenikosa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwani nilikuwa na shida na wewe.
Wewe ndio unatafuta Mume. Nimekupa Ofa njoo PM alafu kwa ujinga wako unasema nimekukosa. Nilikuambia ninakutaka au kutafuta mwanamke.

Mwanamke mzuri hatafuti Mume. Mwanamke mzuri hutafutwa kwa Udi na Uvumba.

Kitendo cha mwanamke kutafuta mume ni dalili ya kukosa sifa za mwanamke mzuri.
 
Samahani kama nitakuudhi, nina swali kwako.

Ni changamoto ipi iliyokufanya mpaka kufikia huo umri hukupata mwenza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…