Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

kihuba uko serious jaribu kusocialize mtaani,sokoni,nyumba za ibada jitoe out sehemu expensive utapata mwanaume classic
 
Sifa zote ninazo utanifikilia kama nitakufaa mi mwenyewe napenda kufanya mapenzi kila wakati utani faa cha mwisho mi ni mpenda alcohol
 
Sijui iseeee
Basi ni vyema uanze kujichunguza, na itakuwa ni bora zaidi ukianza kwa kuwauliza watu wako wa pembeni kuhusu wewe kwamba mwenendo wako upoje. Kwa sababu jamii yetu ni jamii ambayo mwanamke huwa hatafuti bali anatafutwa.
 
Boss we si una mke yule mwenye miaka 19?
Cc Marianah

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JF bhana naona unajaribu kumkumbusha
 
Wewe ni dume, bisha
 
Sifa zote nimekidhi kasoro hapo kwenye weusi

Mi ni mweusi utafikiri nimeoga oil nmepakaa kiwi kama mafuta

Ila huwezi nifikiria bibie hili pia tutalishep
 
Elimu kidato cha ngapi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…