Gene da beauty
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 446
- 830
Hicho kitu kingine mkuu KE anayetaka uhudumie ukoo wke huyo xx niwakupozana tu but kumhudumia mchumba yeye kama yy nayo ni kesi??coz ndoa inafata baada ya uchumba INA maana hutomgusa mpka ndoa?!tunazungumzua huduma za kawaida kwa mpnz wko CIO wale wachunaji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu ndo uanaume huo pambana na hali yko!!Mkawageuze MPESA wengine siyo mimi..! Mchumba tu unaniletea majukumu ya baba yako.?? Watu wa kusaidia wako wengi viwete, wazee, watoto, wagonjwa na wasijiweza..! Bora nikajipatie thawabu mbinguni nitamhudumia mke wangu tu na tena kutegemea uwezo wangu sipelekeshwi kijinga etii..!