Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulefu futii 5
Baada ya hapo mahusiano yafe.
mtoto ntamlea mwenyewe.
Sitaki kufatiliana kwa lolote
Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm
Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako ntakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako
Narudia sitaki maneno mengi pm
sms ya kwanza andika nazalisha
ya pili tuma picha
ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae

PM IPO WAZI
Kila laheri [emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu.....
Kipindi cha ujana wangu, ningekutumia picha ya hb moja hatareee (picha isio yangu). Baada ya hapo nakutumia na namba ya simu pamoja na maneno mazuriiiiii...... hadi nihakikishe umejaa nyavuni.
Nakushauri usitumie maneno magumu ama makali hasa unapo zungumzia lolote linalo husu uchu wako.
Ingeoendeza ukafungua pm na ukafanya mawasiliano na wakaka kadhaa na kisha ukafanya utaratibu wa kufahamiana nao nje ya jf.
 
Nimekuta tangazo hili mahali,
Lifuatilie mitandaoni mleta mada:

TENGAZO! TENGAZO! TANGAZO!!
NINAZALISHA.
-bao moja bila kukupa raha (hii ni one minute chomeka) 150,000Tshs;
-bao moja na nusu na kukupa romansi (wan emu Tshs).
-kukuachia ujipimie, emu tano!!

Wanawake wote mnakaribishwa!
Pia wanaume ambao wake/ wawawake zenu wameshindwa zaa, nadili na hili pia, na mtoto anatoka anafanana na banake!

Note: Kuna punguzo la bei kwa wenye misambwanda ya haja (wale wa kiuno dondola zigo hilo) na kei mnato!
 
Kwan ulo kuwa unadate nao previous ....hawakuwa na uwezo Wa kukupa ujauzito au mlishindwana tabia ,walikuwa wabaya kwa sura na kama jibu NDIYO/HAPANA....iweje ukose mchumba? Na sasa unataka huyu Mwenye kigezo cha rangi eupe nenda manyara wapo kibao

EWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
nipelekee
 
Nina mashaka unakusanya manii kama wale wanawake wa zimbabwe. Sema tu kama imefika tanzania tayari, watu wataelewa tuu!!.
 
Kuna sababu tatu za mwanamke kukosa mchumba kama zifuatazo:
1. Kukosa mvuto;
2. Kutokuwa na heshima; na
3. Kuwa mchaguzi kupita kawaida.

Kwakua sifa hizo zote siyo njema, sidhani kama ni busara kwangu kupoteza mbegu zangu za kiume kwenda kutoa mtoto atakayerithi tabia hizo.
 
Kweli dada umemaliza yote Mtu aandike, Nazalisha!! Umekuwa mtamba?? Haya, unataka picha yangu, yako ipo wapi?? Sema kuwa tutakao hitaji kugawa mbegu zetu, tutapata kutoka kwako?? Mbegu ya bure bure tu umeiona wapi?? Hata tukienda kutafuta mbegu ya nguruwe huwa tunalipia shs 20thau, wewe wataka mtoto ati kwa sababu unanipa papuchi?? Kwani huyu nguruwe wangu hapewi hiyo papuchi?? Badilisha cv kwanza. Mtoto kitu ccha ghaharama sio papuchi
 
Kwani bongo hakuna sperm bank,sikuhizi kubeba ujauzito sio lazima ufanye tendo
 
Back
Top Bottom