Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.

Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.

Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.

Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.

PM IPO WAZI
We unadhani wanaume wana shida kiasi hicho?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endelea kuuza sura tu
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza (Wahenga). Mbona wapo bwelele tu, ila ungeweka nawe sifa zako, hata picha ukificha uso wanaume waone nawo ulivyoumbika..
asante
 
Pole sana mleta thread inaonesha jinsi gani hauko huru kimawazo.Wewe ni mtumwa wa elimu,kusoma na burudani huoni kama ni mambo yanayotegeana.Baada ya kuumiza ubongo unahitajj Ku refresh akili mkuu.But pole km umesomea bush

great thinker
 
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.

Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.

Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.

Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.

PM IPO WAZI
Natamani siku upate hitajilo , tatzo Mentality yako inadhani wanaume ni malimbukeni sana kwenu( unaweka mashart ambayo hawo wenye sifa hizo wakikutathimini wanagundua kuwa ww ndio huna sifa au hufanan na sifa za zao) . Ndio maana unalazimisha .unashindwa kujifikiria mwenyewe kwanini hawatokei?
Je mtaani kwenu vidume vya aina gan vinakusumbua na kama havikusumbui kwanini? Anzia hapo ili ujue unahitaji mtu wa aina gan kulingana na idad kubwa ya wanaokufuata Mara kwa mara

Nnacho kushaur MTU yyte akikupenda mtathimini base kwnye suala zima LA mwenendo wake sana kuliko appearance ..
Rizik mantashaa mama . NDEGE WAFANANAO MANYOYA NDIO WANARUKA PAMOJA....... PAMBANA NA SPECS ZAKO

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
Back
Top Bottom