Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baadhi ya wenzako ni makahaba toka kitambo,hivi ninavyoandika kuna demu ana wamaume arobaini na alishajipangia chumba,ni mwendo wakubadilisha tu wanaume.

Mbaya zaidi unaweza ukakuta ni mke wa mtu au mchumba wa mtu.

Nenda mahospitalini unakuta nesi ana wanaume wengi kinouma,kuanzia daktari hadi mlinzi,lakini hajiiti kahaba,tafadhari hayo maisha utakayosema unaishi baada yakukata tamaa wengi wako humu na wengine wako BADOO wanayaishi,ninauhakika utapata mume kwani nasisi tumeshakata tamaa tunamuona kila mwanamke ni mhuni hivyo tunaoa tu,ishi unavyoweza nakukuoa tutakuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karbu chamani makaka poa tupo.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kuwa kwanza mwanamke wa kweli ndo utampata mwanaume wa kweli ni swala la muda tu kuwa na Subra acha papara usije juta milele usiseme hukushauriwa sisi tunakupa in and out wa kuamua ni wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume
We nawe hueleweki, mithread kibao unaanzisha mada hizo hizo, mi PM kibao unatumiwa hujibu, japo kuwa tunaham nayo but tushakuchoka kauze tu, utapata elfu 5 kwa bao[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini unawaza tu, ila hujaanza.

Ukianza ndo utajua kukosea huana kwenye kuwaza,,

Unawezaje kuwaza kufeli, kushindwa!!
Nakushauri ukawaulize makahaba kwanza nini zaidi wanakifurahia, na wanafaidika na nini huko, na kama kuna kosa wanajutia waulize ni wapi,,

Wao wanajua zaidi,
 
Huyu usikute alipokuwa 18 kwao waliandika kwenye geti "Mbwa mkali" sahv umri umekwenda anajiskia kuwashwa na kakosa wa kumkuna kwao wameandika "Tunauza barafu"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu ni mwanaume anayejifanya dem kuwazngua wanaume mnavyomfuat pm data nyingi ana collect!
Anatutesa sana kuingia PM yake, Laiti ningemjua huyu, ningeandaa timu tumteke hata kama ni dume utatuzi wa rinda lake ungehusika[emoji615] [emoji615] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom