mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Kama vip Njoo kwangu maana ndo Niko 4m 2 kwa vile Unataka mume wa baadae ela Usiogope tutagawana nibazopewa za kula school
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusalitiwa kupo kwa asilimia 90% na ukitaka wako peke yako utasubiri sanaBora uwe mwenyewe kuliko uje unase kwa dume kama gudume!utasalitiwa hadi ujute kumfaham
Ni vigumu kupata mume bila kuanza mahusiano ya awali then mpige hatua mpaka kwenye ndoaNajisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
Kwa taarifa yako mashine iliyopinda ndio tamu kupita iliyonyooka!
Nipo na umri wa kuitaji kuitwa mama,na Mwenye kuitaji kuitwa baba aje pm
Umri 29-100 mie 27 mkristo rc atapewa kipao mbele mrefu kiasi maji ya kunde kifua cha mahaba
Mashine yake iwe imenyoka sitaki iliyo pinda
Awe muwazi
Mie mpole mcheshi na Mwenye msimamo thabit
Awe mchapa kazi haswa mjasiliamali
Mlango wazi pm
Jose wewe.....hahahahhahaaaanilivyoona title tu nikajua lazima atakuwa kihuba
Tatizo lako hauitaji mume unahitaji kuanzisha uzi na kuwachora watu.kama ukirudi kwenye comments zilizo pita,nadhani utagundua unadharau,kibiri na na mzaha.watu wanakwambia weka picha huwek,toa namba hutoi,comments hujibu unadhan mume utamtoa wapi.liaaaa ukimaliza cheka.Najisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
Usiwaze mda badoNajisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
Tukusaidie vip .namba sasaNajisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke