Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Najisikia kulia tuuuuu nimechoka kuwa mpweke
Unaweza kuwa umeliongea ukiwa hauko serious au vip.. lakini ndani ya ujumbe wako kuna ukweli..
ukifika wakati wa kuoa wanawake wa kuoa huwa hawapatikani kabisa nina ndugu yangu anatafuta mke mwaka wa tano sasa.
Ukitaka mwanamke wa kumpitia wapo wengi sana kila kona kuna mwanamke lakini utakapo anza kutafuta mke wa kuoa sio jambo jepesi kabisa.

Biblia iko wazi sana. "Mke mwema nani awezaye kumuona?!"

Wanawake wako wengi sana lakini Mke huwa sio rahisi kumpata.
 
MI NILIJUAGA masikhara asee haya mambo........past two weeks nilikutana na bint mmoja hvi katika fukwe moja huku upande wa kigamboni.........tukakaa nkamkaribisha vinywaji tukanywa kwa mda mrefu tu......badae kinywaji kilivokolea tukakubaliana akalale kwangu..............................huez amin yule bint analalamika kama ww anataman nimuoe au hata kama mi cwez basi kama nna rafiki yangu ambaye yupo loose nimpe amechoka kuwa mpweke.....POLE SANA JIFUNZE KUMPA MWANAUME KILA KITU HUWA TUNAPAGAWAGA SISI.
sasa kwa tabia hizo za kukubali siku hiyo hiyo unadhani atpata mme. au umesh tangaza ndoa mkuu
 
Unaweza kuwa umeliongea ukiwa hauko serious au vip.. lakini ndani ya ujumbe wako kuna ukweli..
ukifika wakati wa kuoa wanawake wa kuoa huwa hawapatikani kabisa nina ndugu yangu anatafuta mke mwaka wa tano sasa.
Ukitaka mwanamke wa kumpitia wapo wengi sana kila kona kuna mwanamke lakini utakapo anza kutafuta mke wa kuoa sio jambo jepesi kabisa.

Biblia iko wazi sana. "Mke mwema nani awezaye kumuona?!"

Wanawake wako wengi sana lakini Mke huwa sio rahisi kumpata.
Usijekuwa unanisema mimi. hahaha natania
 
Usijekuwa unanisema mimi. hahaha natania
Vip ndugu mshale kwenda porini huwa haujakosea Njia.
imagine mdogo wangu ana nyumba ana kazi na yuko kwenye umri wa miaka 30..
anaelekea 33 kupata Mke ni ngumu mno.
KOSEA KUJENGA UTABOMOA NA KUJENGA UPYA.. USIKOSEE KUOA.!!
utajuta maisha yako yote.!
 
We bwege kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Relax girlie. Mume hatafutwi kwa papara.

A desperate prey is easy to catch.

Prey that will test his patience, disturb his peace of mind ruffle his thoughts. A prey hard to catch will put a hunter at his wits end and this should be you.
Kazi kweli kweli [TAG] Kihuba [/TAG] hebu tuambie kama hayo maneno hapo juu yanachangia.
 
Vip ndugu mshale kwenda porini huwa haujakosea Njia.
imagine mdogo wangu ana nyumba ana kazi na yuko kwenye umri wa miaka 30..
anaelekea 33 kupata Mke ni ngumu mno.
KOSEA KUJENGA UTABOMOA NA KUJENGA UPYA.. USIKOSEE KUOA.!!
utajuta maisha yako yote.!
Kama hali ndio hiyo atafute sehemu aharibu then maisha yasonge. hayo ndio maamuzi niliyoamua mimi baada ya kuona hili zoezi limekuwa gumu.
 
Back
Top Bottom