Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Utakuta mtu Kesha zalishwa mara 2, umri umeenda, hana kazi halafu anachagua mwanamme tena anasema bila soni. Mcha Mungu na asiye mlevi pia asiwe mgumu kutoa pesa. Shubamit, ujana wako umechezewa na vibabu sasa vimefariki au choka mbaya ndio utuletee balaa hapa. Sepa
 
Weka picha yako usitake watu warefu kumbe we mwenyewe kama gunia la mchele.. Tuambia UNA CHURA??, LAINI YETU PENDWA INATUMIKA??
 
Ushachezewa ujana wako sasa uzee unataka umalizie kwa nani?!gademshit
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Mwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati

Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe

Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli

Msema kweli mpenzi wa mungu

Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext

Mfano vp?
.......haaaaaha

Sijui tyajendeee matofari sijibu.....

Na kadharika

Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
 
[emoji3][emoji3] Kumbe kuna tongozo tena huko PM
 
Back
Top Bottom