Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Tunapima afya kabda ya chochote....upo tayari??Sifa
Asiwe mfupi
Mkristo
Maji ya kunde
Mjasiliamali
Miaka. 29-39
Anae jua mapenzi sio mgumu Kama gimbi
Ntampenda na hata jutia kunipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapima afya kabda ya chochote....upo tayari??Sifa
Asiwe mfupi
Mkristo
Maji ya kunde
Mjasiliamali
Miaka. 29-39
Anae jua mapenzi sio mgumu Kama gimbi
Ntampenda na hata jutia kunipata
Karibu pmSifa
Asiwe mfupi
Mkristo
Maji ya kunde
Mjasiliamali
Miaka. 29-39
Anae jua mapenzi sio mgumu Kama gimbi
Ntampenda na hata jutia kunipata
Duh nimeghairisha kumbe ulishawahi kuwa malayaaaBaada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu
Nitafute Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu
Nitafute Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
[emoji3][emoji3] Kumbe kuna tongozo tena huko PMMwanaume mwenye upendo na Nia ya dhati
Awe na akiri ya kujiongeza kimaendeleo
Asiwe na kitambi
Awe mkristo
Awe na umri miaka 29-35
Awe na watoto haina shida
Awe mrefu kwakweli maji ya kunde au mweupe
Naomba asije mfupi mweusi uwa Sina stimu nao kabisa kifupi wanaume weusi msije ntawadanganya tu kwakweli
Msema kweli mpenzi wa mungu
Ntajibu sms za wanaume kamili tu wanao jua kuandika Kama ujui kutongoza sita jibutext
Mfano vp?
.......haaaaaha
Sijui tyajendeee matofari sijibu.....
Na kadharika
Sitaki wazinguzi kwakua mie pia mzinguzi ukiniZingua [emoji850]
Nimeelewa kila la kheri bidada.Umeonaaeee ila umeeelewa pooooo