Baada ya kukosa usingizi nikaona nijisomee kidogo na kuwaza

Baada ya kukosa usingizi nikaona nijisomee kidogo na kuwaza

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,915
Reaction score
28,284
Kwa Nini SoMo la bible knowledge liwe kiingereza na dini ya kiislamu liwe kiswahili!?
Kwa nni yote yasiwe kiswahili ili kuweka usawa!?

Ukiangalia hili SoMo sio gumu sana ila kwa sababu ya lugha linakuwa gumu na kuzuia watoto wengi wa kikristo kulisoma mashuleni huku lile la kiislamu kutokana na kufundishwa kwa kiswahili na mitihani yake kutungwa kiswahili basi watoto wengi wamekuwa wakilisoma

Ninaomba wahusika waangalie upya mtaala wa hili SoMo ili lifundishwe kwa kiswahili na mitihani yake itungwe kwa kiswahili na watoto wapate haki ya kulisoma bila shida shuleni
 
Wanafunzi wakifanya mtihani shuleni
wanafunziiiii.jpg
 
Back
Top Bottom