Baada ya kukua nimejifunza yafuatayo kuhusu siasa za Tanzania

Baada ya kukua nimejifunza yafuatayo kuhusu siasa za Tanzania

Mada nzuri ila imekutana na kizazi chenye tatizo la read to understand, kwa kifupi nchi inahitaji katiba mpya itakayotupa taasisi imara including NEC, wengi uliowataja hapo juu ni political deployment wataendelea kuwepo ILA kukiwa na taasisi imara (watchdog)kutakua hakuna kutekeza maana wanajua kuwa kuna recourse kwa kila kitu wanachokifanya(uwajibikaji),judiciary ni lazima candidates wote waombe na interview ifanyike(refer judiciary ya South Africa, Botswana),aliyeua elimu, UPE na shule za sekondari za kata, wanatakiwa wao wafe mara mbili, President Mugabe pamoja na matatizo yote hakuigusa education systems aliyoirithi, ndio maana hadi leo Zimbabweans kielimu wapi super
 
Back
Top Bottom