PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Mwanadada Jokate Mwegelo kutoka Tanzania amekutana na Nguli wa Soka Thierry Henry ambae ni Mchezaji wa Zamani wa Arsenal. Wawili hao wamekutana nchini Afrika Kusini katika NBA African Game 2017.
____________________________
Jokate ambaye ni Balozi wa NBA kwa upande wa Afrika amehudhulia Mashindano hayo yaliyokutanisha timu za NBA kwa Wachezaji wenye asili ya Afrika Pamoja na Wale wenye Asili ya Mataifa Mengine.
-Ndumilakuwili-