Baada ya kukutana na Beyonce na Jay Z, NBA yamkutanisha Jokate na Thierry Henry

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Mwanadada Jokate Mwegelo kutoka Tanzania amekutana na Nguli wa Soka Thierry Henry ambae ni Mchezaji wa Zamani wa Arsenal. Wawili hao wamekutana nchini Afrika Kusini katika NBA African Game 2017.
____________________________
Jokate ambaye ni Balozi wa NBA kwa upande wa Afrika amehudhulia Mashindano hayo yaliyokutanisha timu za NBA kwa Wachezaji wenye asili ya Afrika Pamoja na Wale wenye Asili ya Mataifa Mengine.
14c01c4277e0e4a82ab4a5a044c4e9e9.jpg
b3aec565f44b455f81781ee90a9dea6d.jpg

-Ndumilakuwili-
 
HAPO KAMA HENRY ALIOMBA URODA LAZIMA ALIPEWA FASTA BILA KUCHELEWA.WABONGO KWA KUCHANGAMKIA FURSA

Back
Top Bottom