MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Kwa sasa, baada ya kuliwa pesa za viingilio vya mchezo wao ambao walifanganywa kwamba ungechezwa kwa Mkapa, Mashabiki wa 5imba wametelekezwa na viongozi wao na hawajui wasimamie wapi kuhusu hatma ya mchezo wa derby. Baada ya kutoka barua zaidi ya mbili, moja ikisisitiza mchezo wa tarehe 15 June upo palepale na hawatambui na hawatoshiriki mchezo wowote tofauti na huo, Kisha ikaja barua ya kuruhusiwa kutumia dimba la Mkapa kwa ajili ya mazoezi. Mashabiki wamebaki kama yatima, hawajui kesho waende uwanjani au la!